Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Sengati ameuagiza uongozi wa Mgodi wa Barrick kuhakikisha wanatoa miradi yenye mashiko inayochangiwa na mgodi huo.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati ameuagiza  uongozi wa Mgodi wa Barrick ulioko Bulyanhulu Mkoani Shinyanga kuhakikisha wanatoa miradi yenye mashiko ile inayochangiwa na mgodi huo kwa jamii badala ya kujikita katika masuala madogo kama vile semina na washa ili wananchi waweze kufaidika na uwepo wa rasilimali hiyo kubwa katika maeneo yao.‘’Tunataka wawe